
18 Kisha akaomba tena inyeshe, na anga ikatoa mvua, na ardhi ikatoa mazao. Aliomba kwamba mvua isinyeshe, na haikunyesha katika ardhi kwa miaka mitatu na nusu. 17 Eliya alikuwa mwanadamu kama sisi tulivyo. Maombi yanayofanywa na mtu mwenye haki yana nguvu sana na yana matokeo makubwa sana. Kama atakuwa ametenda dhambi, Bwana atamsamehe.ġ6 Hivyo muungame dhambi ninyi kwa ninyi, na kuombeana ninyi kwa ninyi ili muweze kuponywa. 15 Maombi yanayofanywa kwa imani yatamfanya mgonjwa apone, na Bwana atampa uzima. 14 Je, kuna yeyote kwenu aliye mgonjwa? Anapaswa kuwaita wazee wa kanisa kumwombea na kumpaka mafuta katika jina la Bwana. Je, yupo yeyote mwenye furaha? Anapaswa kuimba nyimbo za sifa. Nguvu ya Maombiġ3 Je, miongoni mwenu kuna aliye na shida? Anapaswa kuomba. “Ndiyo” yenu na iwe “Ndiyo halisi”, na “Hapana” yenu na iwe “Hapana halisi”, ili msije mkaingia katika hukumu ya Mungu. Uwe Makini na Unayosemaġ2 Juu ya mambo yote kaka zangu na dada zangu, usitumie kiapo unapotoa ahadi, Usiape kwa mbingu wala kwa dunia, ama kwa kitu kingine chochote. Hii basi inaonesha ya kuwa Bwana ni mwenye wingi wa rehema na huruma. Mmesikia juu ya uvumilivu wa Ayubu, na mnayajua ya kuwa baada ya yote hayo Bwana alimsaidia.


11 Na tunatoa heshima kubwa sana kwa wale wote waliostahimili mateso. Wao walipata mateso mengi mabaya lakini walivumilia. Tazameni! Hakimu anasimama mlangoni akiwa tayari kuingia ndani.ġ0 Kina kaka na kina dada, fuateni mfano wa manabii waliosema kwa jina la Bwana. 9 Kaka na dada zangu, msiendelee kunung'unikiana ninyi kwa ninyi, ili msije kuhukumiwa kuwa na hatia. Muwe imara mioyoni mwenu, kwa sababu kuja kwa Bwana mara ya pili kumekaribia. 8 Hata ninyi pia mnapaswa kungoja kwa subira. Huyangoja kwa subira mpaka yapate mvua za masika na za vuli.

Kumbukeni kuwa mkulima huyasubiria mazao yake yenye thamani yakue ardhini. Uwe Mstahimilivuħ Hivyo kina kaka na kina dada, muwe na subira hadi kuja kwa mara ya pili kwa Bwana. 6 Mmehukumu na kuua wale watu wasio na hatia, na ambao hawakupingana nanyi. Mmeinenepesha miili yenu, kama wanyama walio tayari kwa siku ya kuchinjwa. Sasa wananililia! Na kilio cha hao wanaovuna pia kimeyafikia masikio ya Bwana Aliye na Nguvu.ĥ Mmeishi maisha ya anasa duniani na kujifurahisha na kila kitu mlichotaka. Mmejilimbikizia mali kwa ajili yenu katika kizazi hiki cha siku za mwisho! 4 Angalieni! Mmeyazuia malipo ya wafanyakazi waliopalilia mashamba yenu. 3 Dhahabu zenu na fedha vimeliwa na kutu! Hiyo kutu itakuwa ni ushuhuda dhidi yenu, na itaila miili yenu kama kwa moto. 2 Utajiri wenu umeoza, na mavazi yenu yameliwa na nondo. 5 Sikilizeni, ninyi matajiri! Ombolezeni na kulia kwa sauti kwa ajili ya dhiki inayowajia.
